Tuesday, January 28, 2014

WASTANI A3

Tafuta wastani wa 20 na 12.

Suluhu

20 + 12 = 32

Jumla ya namba = 32
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 32 ÷ 2   
                = 16


Hivyo wastani ni 16

No comments:

Post a Comment