Thursday, January 30, 2014

WASTANI A9

Tafuta wastani wa 30 na 50.

Suluhu

30 + 50 = 80

Jumla ya namba = 80
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 80 ÷ 2   
                = 40


Hivyo wastani ni 40

No comments:

Post a Comment