Wednesday, January 29, 2014

KKS A1

Tafuta KKS cha 30 na 66.

Suluhu    


30
66
15
33
5
5
11
11
1
11

1
1


Namba zilizozungushwa duara zinagawa namba za ndani bila kubaki. Hizo ndio tutatumia kutafuta KKS.

KKS = 2 x 3

       = 6


Hivyo KKS ni 6

No comments:

Post a Comment