Wednesday, January 29, 2014

MAFUMBO A1

Mwitanga ana machungwa 136. Anataka kula machungwa 70. Je atabakiwa na machungwa kiasi gani?


Suluhu

136 – 70 = 66


Hivyo atabakiwa na machungwa 66.

No comments:

Post a Comment