Thursday, January 30, 2014

MAFUMBO A2

Mihayo ana vibanda vitatu. Kila kibanda kina punda watano. Tafuta Idadi ya punda wote kwa pamoja.

Suluhu

Idadi ya vibanda = 3

punda kwa kila kibanda = 5

= 5 x 3

= 15


Hivyo punda wote kwa pamoja ni 15.

No comments:

Post a Comment