Thursday, January 30, 2014

WASTANI A8

Tafuta wastani wa 20 na 50.

Suluhu

20 + 50 = 70

Jumla ya namba = 70
Idadi ya namba = 2

Wastani = Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 70 ÷ 2   
                = 35


Hivyo wastani ni 35

No comments:

Post a Comment