HISABATI
Pages
Home
HISABATI KWA VIDEO
MAZOEZI YA HISABATI
Wednesday, March 26, 2014
ALJEBRA A23
Tafuta y Ikiwa 11y – 8 = 5y + 10.
Suluhu
11y – 8 = 5y + 10
11y - 5y = 8 + 10
(baada ya kukusanya mitajo inayo fanana)
6y = 18
6y
=
18
6
6
y = 3
ZAMU YAKO……………….
Tafuta y Ikiwa 10y – 20 = 3y + 8.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment