Wednesday, March 26, 2014

SEHEMU MAFUMBO A1



Kisoso alitumia 3/5 ya pesa yake kununua nyanya. Tafuta kiasi kilichobaki Ikiwa alikuwa na sh. 10,000.

Suluhu

= 3 x 10,000
  5

= 3 x 10,0002000
  5

= 3 x 2000

= 6000

Kiasi kilichobaki = 10,000 – 6000
                            = 4000/=

Hivyo alibakiwa na sh 4000/=.


ZAMU YAKO………………….

Mligo alitumia 3/8 ya pesa yake kununua viatu. Tafuta kiasi kilichobaki Ikiwa alikuwa na sh. 32,000.

No comments:

Post a Comment