Tafuta
wastani wa 19 na 17.
Suluhu
17
+ 19 = 36
Jumla
ya namba = 36
Idadi
ya namba = 2
Wastani
= Jumla ya namba ÷ Idadi ya namba
                = 36 ÷ 2   
                = 18
Hivyo wastani ni  18
ZAMU YAKO……………….
Tafuta
wastani wa 23 na 17.
No comments:
Post a Comment