Kampuni ya
simu hutoza shilingi 500 kwa kila neno katika maneno kumi ya mwanzo, na sh 80
kwa kila neno linaloongezeka. Tafuta gharama ya kutuma maneno 16.
Suluhu
Maneno 16 –
maneno 10 ya mwanzo = maneno 6 yanayoongezeka.
Maneno 6 x
sh 80 = sh.480
Jumla ya
gharama = maneno 10 ya mwanzo + maneno yanayoongezeka
= 500
+ 480
= 980
Hivyo gharama ya kutuma maneno 16 ni
sh 980.
ZAMU YAKO……………….
Kampuni ya
simu hutoza shilingi 470 kwa kila neno katika maneno kumi ya mwanzo, na sh 70
kwa kila neno linaloongezeka. Tafuta gharama ya kutuma maneno 17.
Gharama ya kutma maneno 17 ni sh 960
ReplyDeleteNioneshe. Njia. Tadhri
DeleteNakubali mwamba
ReplyDeleteNina mashaka na hayo majibu kutokana na maelezo ya swali
ReplyDeleteNataka kuhakikisha
ReplyDeleteNini shida. Sasa
ReplyDeleteShida ni shilingi 500 kwa kila neno ktk maneno kumi ya mwanzo
Delete960
ReplyDeleteSawaa mathematician ,bt nina swali . Kama gharama ya kutuma simu yenye maneno 25 ni shillingi 900,ukiwa gharama ya kutuma maneno 10 ya mwanzo ni. Shillingi 300.tafuta gharama ya kila nenolinalongezeka na njia uoneshe
ReplyDelete25-10=15
ReplyDelete15 ndo maneno yalozidi
Then, unachukua
15xX=15x
Then,kupata garama ya kutuma jumla ya maneno
900=300+15x
900-300=15x
600=15x/15
X=40
Shilingi 40 ndo garama ya kutuma Kila neno linalozidi