Marwa aligawa
sh 12,000/= kwa watoto wake watatu katika uwiano wa 2:7:3. Tafuta kiasi
alichopata motto wa pili.
Suluhu
Kwanza
tunajumlisha uwiano: 2 + 7 + 3 = 12
Mtoto wa pili
ana uwiano wa 7.
sehemu ya
mtoto wa pili ni 7/12.
Mtoto wa pili = 7 x 12,000
12
Mtoto wa pili = 7 x 12,0001000
Mtoto wa pili = 7 x 1000
Mtoto wa pili = 7,000.
Hivyo mtoto wa pili alipata 7000/=
ZAMU YAKO…..
Chacha aligawa
sh 16,000/= kwa watoto wake watatu katika uwiano wa 2:5:3. Tafuta kiasi
alichopata motto wa pili.
No comments:
Post a Comment