Wednesday, October 2, 2013

UMRI A-1



Umri wa Pati ni mara tatu ya ule wa Wille. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 72, tafuta umri wa Pati

Suluhu

Diana = y
Paulina = 3y

Pati
Wille
Jumla
y
3y
72

y+3y = 72

4y = 72

4y = 72
4       4

y = 18

Umri wa Pati = 3y

                              = 3x18

                              = 54

Hivyo umri wa Pati ni miaka 54

No comments:

Post a Comment