Thursday, October 3, 2013

MZINGO A-1




Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo


Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

            = 10 + 14 + 16 + 20

            = 60

Hivyo mzingo ni m 60     



No comments:

Post a Comment