Wednesday, October 2, 2013

NYUZI A-2



Tafuta thamani ya y katika umbo lifuatalo



Suluhu

Jumla ya nyuzi za pembetatu ni 1800

y+2y+660 = 1800

3y+660 = 1800

3y = 1800- 660

3y = 1140

3y = 1140
3        3

y = 380

Hivyo thamani ya y ni 380

No comments:

Post a Comment