Thursday, October 3, 2013

MZINGO A-2



Tafuta mzingo wa pembetatu ifuatayo


Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

              = 27 + 33 + 40

              = 100

Hivyo mzingo ni m 100

No comments:

Post a Comment