Thursday, October 3, 2013

UMRI A-2



Umri wa Doto ni mara nne ya ule wa Wini. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 80, tafuta umri wa wote wawili.

Suluhu

Doto = a

Wini = 4a

Doto
Wini
Jumla
4a
a
72

4a+a = 80

5a = 80

5a = 80
5        5

a = 16

Umri wa Doto = 5a
                           = 5x16
                           = 80

Umri wa Wini = a
                          = 16


Hivyo umri wa Doto ni miaka 54 na ule wa Wini ni miaka 16

No comments:

Post a Comment