Umri wa Pati ni mara tatu ya ule wa Wille.
Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 72, tafuta umri wa Pati
Suluhu
Diana = y
Paulina = 3y
Pati
|
Wille
|
Jumla
|
y
|
3y
|
72
|
y+3y = 72
4y = 72
4y = 72
4 4
y
= 18
Umri
wa Pati = 3y
= 3x18
= 54
Hivyo
umri wa Pati ni miaka 54
No comments:
Post a Comment