Tuesday, October 1, 2013

UJAZO A-1



Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni  sm3300


Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo


300 = 10 x 6 x h


300 = 60 x h


300 = 60h
 60      60
 
5 = h

Kwa hiyo kimo ni sm 5


No comments:

Post a Comment