Tuesday, October 1, 2013

MZINGO PEMBETATU A-1




Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni sm 37. Tafuta thamani ya W.



Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

37 = w + (w+8) + 15

37 = 2w + 23

37 - 23=2w

14 = 2w

14 = 2w
 2      2

7 = w

Hivyo w = sm 7



No comments:

Post a Comment