Tafuta
thamani ya a katika umbo lifuatalo.
Suluhu
Umbo hili
limekaa mithili ya mkasi. Hivyo kila pembe mbili zinazotazamana ni sawa.
2a+200
+ 2a+200 + 520 + 520 = 360
2a + 2a + 200
+ 200 + 520 + 520 = 3600
4a + 400
+ 1040 = 3600
4a+1440
= 3600
4a = 3600
- 1440
4a = 2160
4a
= 2160
4
4
a = 540
Hivyo thamani ya a ni 540
No comments:
Post a Comment