Tafuta eneo
la umbo lifuatalo ikiwa mzingo wake ni m 20.
Suluhu
Pande zote ni sawa. Huu ni mraba.
Mzingo =
Upande x 4
20= (2y-7) x
4
20 = 8y-28
20 + 28 = 8y
48 = 8y
48
= 8y
8 8
6 = y
Sasa tunatafuta urefu wa
upande mmoja
Upande = 2y – 7
= (2x6) – 7
= 12 – 7
= 5
Kwa kuwa tunao upande, sasa
twatafuta eneo.
Eneo = upande x upande
= 5 x 5
= 25
Hivyo
eneo la mraba ni m225
No comments:
Post a Comment