Friday, August 16, 2013

MZINGO-10


Tafuta thamani ya c katika umbo lifuatalo ikiwa mzingo wake ni m 52.




Suluhu

Mzingo = 2(urefu x upana)

Mzingo = 2[(c+6) + (c-2)]

Mzingo = 2[c+6 + c-2]

Mzingo = 2[c+ c + 6 -2]

Mzingo = 2[2c + 4]

Mzingo tuliopewa hapo juu, ni m 52.

52 = 4c + 8

52 – 8 = 4c

44 = 4c

44 = 4c
 4      4

11 = c



Hivyo thamani ya c ni 11


No comments:

Post a Comment