Tafuta
mzingo wa pembetatu ifuatayo.
Suluhu
Tutatumia
kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2 ] kutafuta urefu AC
a2
+ b2 = c2
AB2
+ BC2 = AC2
102
+ 242 = AC2
100 + 576 =
AC2
676 = AC2 [Tafuta kipeuo cha pili cha 676]
26 = AC
Baada ya
kupata urefu AC, tunatafuta mzingo.
Mzingo = jumla
ya pande zote
= 24+10+26
= 60
Hivyo mzingo
ni M 60.
No comments:
Post a Comment