Tafuta
mzingo wa pembetatu ifuatayo.
Suluhu
Tutatumia
kanuni ya PYTHAGORAS [ a2 + b2 = c2 ] kutafuta urefu AC
a2
+ b2 = c2
AB2
+ BC2 = AC2
52 + 122 = AC2
25 + 144 =
AC2
169 = AC2 [Tafuta kipeuo cha pili cha 169]
13 = AC
Baada ya
kupata urefu AC, tunatafuta mzingo.
Mzingo = jumla
ya pande zote
= 12 + 5 + 13
= 30
Hivyo mzingo
ni mm 30.
No comments:
Post a Comment