Wednesday, August 14, 2013

UMRI-1


Umri wa Paulina ni mara tatu ya ule wa Diana. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 64, tafuta umri wa Paulina.

Suluhu

Diana = y

Paulina = 3y


Diana
Paulina
Jumla
y
3y
64


y+3y = 64

4y = 64

4y = 64
4       4

y = 16

Umri wa Paulina = 3y

                              = 3x16

                              = 48


Hivyo umri wa Paulina ni miaka 48

1 comment: