Eneo la mstatili ni sm2160.
Ikiwa urefu ni sm20, tafuta upana wake
Suluhu
Hebu
chukulia kwamba upana = w
Eneo = urefu x upana
160 = 20
x w
160 = 20w
8160 = 120w
1 20 120
w = 8
Hivyo upana ni sm 8
No comments:
Post a Comment