Thursday, July 4, 2013

MZINGO WA MSTATILI-2

Tafuta mzingo wa mstatili hapo chini




Suluhu


Mzingo = 2(urefu + upana)

              = 2(8.7 + 2.2)

              = 2 x 10.9

              = 21.8  


Hivyo mzingo ni sm 21.8

No comments:

Post a Comment