Friday, July 5, 2013

UJAZO-3




Tafuta ujazo wa mche mstatili ufuatao



Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo


Ujazo = 15 x 4 x 6

Ujazo = 60 x 6

Ujazo = 360

Kwa hiyo ujazo ni sm3360

No comments:

Post a Comment