Thursday, July 4, 2013

MZINGO WA MRABA-3


Tafuta mzingo wa mraba hapo chini






Suluhu


Mzingo = 4  x  upande

              = 4 x 11.3

              = 45.2


Hivyo mzingo ni mm 45.2

No comments:

Post a Comment