Tuesday, July 9, 2013

MZINGO WA MSTATILI-3

Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo



Suluhu

Mzingo = 2(urefu + upana)

              = 2(90 + 10)

              = 2 x 100

              = 200

Hivyo Mzingo = m 200       


 

No comments:

Post a Comment