Wednesday, July 24, 2013

MZINGO WA MRABA-6



Mzingo wa mraba ufuatao ni 68m. Tafuta thamani ya c



Suluhu

Mzingo = 4 x Upande

68 = 4(2c - 3)

68 = 8c– 12

68 + 12 = 8c

80 = 8c

80 =  8c
 8       8
 
10 = c

Hivyo thamani ya c ni 10m



No comments:

Post a Comment