Saturday, July 6, 2013

MZINGO-5




Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni m 70. Tafuta thamani ya e.



Suluhu

70 = 2e + 25 + 13

70 = 2e + 38

70 - 38 = 2e + 38 – 38

32 = 2e + 0

32 = 2e

32 = 2e
 2      2

16 = e

Hivyo e = 16

1 comment:

  1. good ones for our country education it real help me for my son through this blog keep it up sir ndamugoba...much respect to you

    ReplyDelete