Thursday, July 4, 2013

MZINGO WA MRABA-2


mzingo wa mraba hapo chini n ism 44. Tafuta urefu wa upande mmoja.




Suluhu


Hebu chukulia kwamba upande = a


Mzingo = 4  x  upande


       44  = 4 x a
  
      44  = 4a
         4       4

          a  = 11



Hivyo upande mmoja ni mm 11

No comments:

Post a Comment