Saturday, July 6, 2013

MZINGO-3




Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni m 66. Tafuta thamani ya a.



Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

66 = 3a + 12 + 21

66 = 3a + 33

66 – 33 = 3a + 33-33

33 = 3a + 0

33 = 3a

33 = 3a
 3     3

11 = a

Hivyo a = 11

No comments:

Post a Comment