HISABATI
Pages
Home
HISABATI KWA VIDEO
MAZOEZI YA HISABATI
Tuesday, July 30, 2013
ENEO LA MSTATILI-3
Eneo la mstatili ni sm
2
800. Tafuta upana ikiwa urefu wake ni sm 80.
Suluhu
Chukulia kwamba upana ni w
Eneo= urefu x upana
800 = w x 80
800
=
80w
80 80
w = 10
Hivyo upana ni sm 10
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment