Friday, July 5, 2013

UJAZO-1




Tafuta ujazo wa mche mstatili ufuatao




Suluhu


Ujazo = urefu x upana x kimo

Ujazo = 20 x 5 x 6

Ujazo = 100 x 6

Ujazo = 600

Kwa hiyo ujazo ni sm3600

No comments:

Post a Comment