HISABATI
Pages
Home
HISABATI KWA VIDEO
MAZOEZI YA HISABATI
Friday, July 5, 2013
UJAZO-4
Tafuta kimo cha mche mstatili ufuatao ikiwa ujazo wake ni
sm
3
300.
Suluhu
Ujazo = urefu x upana x kimo
Chukulia kwamba kimo=h
300 = 10 x 5 x h
300 = 50 x h
300
=
50h
50
50
6 = h
Kwa hiyo kimo ni sm
6
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment