Friday, July 5, 2013

UJAZO-2




Tafuta ujazo wa mche mstatili ufuatao



Suluhu

Ujazo = urefu x upana x kimo

Ujazo = 30 x 3 x 10

Ujazo = 90 x10

Ujazo = 900

Kwa hiyo ujazo ni sm3900

No comments:

Post a Comment