Eneo la pembetatu ni sm290.
Tafuta kitako chake ikiwa kimo ni sm 30.
Suluhu
Eneo = 1 x kitako x kimo
2
90 = 1
x kitako x 30
2
Hebu
chukulia kwamba kitako = b
90 = 1 x b x 30
2
90 = 1 x b x 3015, canceling by 2
90 = 1 x b
x 15
90 = 15b
660
= 115b
115 115
b = 6
Hivyo kitako ni sm 6
No comments:
Post a Comment