Wednesday, July 24, 2013

MZINGO WA MRABA-5




Mzingo wa mraba ufuatao ni 88dm. Tafuta thamani ya e




Suluhu

Mzingo = 4 x Upande

88 = 4(5e - 8)

88 = 20e – 32

88 + 32 = 20e

80 = 20e

80 =  20e
 20     20
 
4 = e

Hivyo thamani ya e ni 4dm



No comments:

Post a Comment