Wednesday, July 3, 2013

MZINGO-3


Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni mm 140. Tafuta thamani ya a.



Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

       140 = 7a + 4a + 3a

       140 = 14a

      10 140   = 114a
         114         114
 
      a = 10


Hivyo a = 10   


No comments:

Post a Comment