Monday, July 29, 2013

MZINGO WA MRABA-9


Mzingo wa mraba  ni sm 88. Tafuta urefu wa upande mmoja.


Suluhu


Hebu chukulia kwamba upande = G

Mzingo = 4  x  upande

        88  = 4 x G

       88  = 4G
         4       4

          a  = 22


Hivyo upande mmoja ni mm 22



No comments:

Post a Comment