Wednesday, July 24, 2013

MZINGO WA MRABA-7




Mzingo wa mraba ufuatao ni 60mm. Tafuta thamani ya y




Suluhu

Mzingo = 4 x Upande

60 = 4(3y - 6)

60 = 12y – 24

60 + 24 = 12y

84 = 12y

84 =  12y
 12     12

7 = y

Hivyo thamani ya y ni 7mm


No comments:

Post a Comment