mzingo wa
mstatili hapo chini ni m 60. Ikiwa urefu wake ni m20, tafuta upana wake.
Suluhu
Hebu
chukulia kwamba upana = m
Mzingo =
2(urefu + upana)
60
= 2(20 + m)
60
= 40 + 2m
60 - 40 = 2m
20 = 2m
20 = 2m
2
2
m = 10
Hivyo upana ni sm 10
No comments:
Post a Comment