Tuesday, July 30, 2013

NYUZI-3

 Tafuta thamani ya n katika umbo lifuatalo:




Suluhu

n + n + (n + 4) + (n + 4) = 360

4n + 8 = 360

4n = 352

4n  =  352
4         4

n = 88

Hivyo thamani ya n ni 88



No comments:

Post a Comment