Tuesday, July 9, 2013

MZINGO-6



Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni sm 300. Tafuta thamani ya a.




Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

300 = 7a + 5a + 3a

300 = 15a

300 = 5a
  5       5

a = 60

Hivyo a ni 60

No comments:

Post a Comment