Saturday, July 6, 2013

MZINGO-4




Mzingo wa pembetatu ifuatayo ni mm 150. Tafuta thamani ya y.


Suluhu

Mzingo = jumla ya pande zote

150 = y + 70 + 50

150 = y + 120

150-120 = y + 120-120

30 = y + 0

30 = y

Hivyo y = 30

No comments:

Post a Comment