Tafuta eneo la trapeza lifuatalo
Suluhu
Eneo =  1 x kimo x (a + b)
              2
Eneo =  1 x 20 x (9 + 7)
              2
Eneo =  1 x 20 x 16
              2
Eneo =  1 x 2010 x 16
Eneo =  1 x 10 x 16
Eneo =  160
Hivyo eneo ni m2 160

Imekaa vizuri
ReplyDeleteIpo vizur
ReplyDelete